Washirika

Continuum, ni washauri wa kimataifa wa miundo na uvumbuzi mbalimbali, inashirikiana na Daktari Mchunguzi kuunda mfumo wa Daktari CD4 . Ujuzi wa miundo ya Continuum huboresha maisha ya watu na husaidia katika ugunduzi wa biashara. Continuum utambulisha nafasi ya uvumbuzi, inaunda bidhaa na huduma mpya, na hurasimu mbinu mpya ya kuwasilisha bidhaa mbalimbali. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: www.continuuminnovation.com.
thinXXS, kampuni ya microtechnology iliyo na makao yake makuu katika Zweibrücken, Ujerumani, inashirikiana na Daktari Mchunguzi kuujenga mfumo wa Daktari CD4 . thinXXS inaendeleza na inazalisha vifaa vya microfluidic vilivyo na uwezo wa kutupwa kutoka plastiki kwa ajili ya Sekta za uchunguzi, madawa, uchambuzi, na matibabu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: www.thinxxs.com.www.thinxxs.com.

Comments are closed.